Luka 15:11-14 1.Akasema, mtu mmoja akuwa na watoto wawili;.12.yule mdogo akamwambia babaye,nipe sehemu ya mali inayoniangukia.Akawagawia vitu vyake. 13.Hata baada ya siku si nyingi,yule mdogo akakusanya vyote,akasafiri kwenda nchi ya mbali;akatapanya mali zake huko kwa maisha ya uasherati.14.Alipokuwa amekwisha tumia vyote,njaa kuu ilingia nchi ile yeye naye akaanza kuhitaji.