0 Комментарии
0 Поделились
5Кб Просмотры
0 предпросмотр
Поиск
Знакомьтесь и заводите новых друзей
-
Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
-
FAHAMU UWEZO WA DAMU YA YESU KRISTOUkweli ni kwamba katika damu ya Yesu Kristo kunapatikana zaidi ya mambo manne nitakayokushirikisha humu; lakini kwa sasa naona nianze na haya manne:- Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kuondoa dhambi. Imeandikwa katika kitabu cha 1Yohana 1:9 kuwa; “Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata ATUONDOLEE dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote”. Uwezo wa...0 Комментарии 0 Поделились 6Кб Просмотры 0 предпросмотр
-
JIHADHARI USIMKATAE MUNGU KATIKA FAHAMU ZAKOShalom, leo nipe muda nikuonyeshe jambo muhimu sana katika safari yetu ya wokovu hapa dunia kupitia kitabu cha Warumi. Warumi 1:28 imeandikwa ‘Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa’. Katika hali ya kawaida tumezoea kusika na kuona watu wakikataa kufuata maelekezo, sera au miongozo fulani kwa maneno...0 Комментарии 0 Поделились 5Кб Просмотры 0 предпросмотр
-
MILANGO YA FAHAMU YA KIROHOMILANGO YA FAHAMU KATIKA HALI YA MWILI Milango ya fahamu ni ogani za mwili zinazoturuhusu kujua na kuyamudu mazingira yetu kwa usahihi. Kibailojia inaelezwa kuwa ogani yenye uwezo wa kupokea habari za nje ya mwili kama vile; Nuru, Sauti, Halijoto, Mwendo, Harufu na ladha ili kuzibadilisha katika mfumo wa kiumeme inachukuliwa kwa njia ya mfumo wa neva hadi kwenye ubongo. Kuna...0 Комментарии 0 Поделились 6Кб Просмотры 0 предпросмотр
-
*KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?**KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?*0 Комментарии 0 Поделились 10Кб Просмотры 0 предпросмотр
-
BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABABINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA0 Комментарии 0 Поделились 6Кб Просмотры 0 предпросмотр
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA
-
WEWE NI HEKALU LA MUNGUWEWE NI HEKALU LA MUNGU0 Комментарии 0 Поделились 6Кб Просмотры 0 предпросмотр
Спонсоры
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].