• CHIZI MSOMI! (1SAMWELI21:12-14)
    ...so kila chizi ni chizi ,! so kila asojua hajui ! so kila mwenda wazimu ni mwenda wazimu kweli! be careful when you aren't careful!!
    ok!!,, wapo watu waliwahi kua na nguvu lkn walilazimika kua dhaifu ili wateke nguvu zaidi kutoka hata kwa waliodhaifu.(acha ujuaji) wengine hukubali kuaibika kwa mda ili kulinda walichonacho na destiny yao!. Wengine hufanya hivo ili kumpofusha adui yao asiione hazina za sirini walizonazo ambazo kwao nikubwa kuishinda heshima yawakati huo. IMAGINEDaudi aliyeua jitu kubwa kama Goliath na akaimbwa kwa sifa nyingi,, alimbidi awe chizi kwa Akishi mfalme wa Gathi, tena so eti hakua na upanga afanye shauri la vita, la hasha. alikua na upanga wa Goliath mkononi, na alikua ni mtumishi wa Mungu na hakuachwa na Mungu! Watu wenye akili/WASOMI/mashujaa hua hawana mbinu moja yakushinda vita,, kila mbinu hufaa kwa muktadha wake,.. Kukaa kimya/kuacha ujuaji/Busara/kuvunga hujui/kuvunga mwehu n.k wakati mwingine ni silaha kushinda MIKHAIL KARASHNIKOV 19947( Mk47) uni automatic machine gun! ni kama jiwe la paji kwa Goliath, wakati mwingine upanga hushindwa na maarifa ama akili ndogo,, Ok!! Mungu alipomaliza kuumba aliona vyote n vyema akabariki, So hata akili kichwani mwako ni njema imebarikiwa, inaweza kukusaidia katka situation tofaut bila hata yakufunga KUNA MAMBO YA KUFUNGA NA YAPO YA UBONGO KUMKICHWA! lile la Daudi kuvunga chizi ni ubongo kwa kicha ona(Mathayo2:19-23) Yusufu akiwa misri hakuambiwa mtto wa Herode ndo anatawala(arkeleo) no.no.no! aliambiwa tu Herode kafa,wala hakuambiwa toka misri nenda moja kwa moja Nazareth! No! so, alipofika israel akapata tarifa(yamkini aliulizia mwenyewe) arkelao anatawala, Yusufu yeye mwenyewe na akili yake akaogopa/kugoma kwenda baadae akiisha kuonywa kwa ndoto akabadili mwelekeo kwenda Nazareth!. akili yako sio bomu, au garasa ni njema kama Mungu alivoiamini, kuna pahala itakusaidia, kuna pahala imesaidia wengi bila wajuaji kujua, kua mjanja katika maamuzi, kufikiri sana sio dawa, dawa nikufanya maamuzi sahihi baada ya kufikilia!! ✓Busara ni akili
    NB, HII DUNIA WAKO MACHIZI WASOMI
    CHIZI MSOMI! (1SAMWELI21:12-14) ...so kila chizi ni chizi ,! so kila asojua hajui ! so kila mwenda wazimu ni mwenda wazimu kweli! be careful when you aren't careful!! ok!!,, wapo watu waliwahi kua na nguvu lkn walilazimika kua dhaifu ili wateke nguvu zaidi kutoka hata kwa waliodhaifu.(acha ujuaji) wengine hukubali kuaibika kwa mda ili kulinda walichonacho na destiny yao!. Wengine hufanya hivo ili kumpofusha adui yao asiione hazina za sirini walizonazo ambazo kwao nikubwa kuishinda heshima yawakati huo. IMAGINE😁Daudi aliyeua jitu kubwa kama Goliath na akaimbwa kwa sifa nyingi,, alimbidi awe chizi kwa Akishi mfalme wa Gathi, tena so eti hakua na upanga afanye shauri la vita, la hasha. alikua na upanga wa Goliath mkononi, na alikua ni mtumishi wa Mungu na hakuachwa na Mungu! Watu wenye akili/WASOMI/mashujaa hua hawana mbinu moja yakushinda vita,, kila mbinu hufaa kwa muktadha wake,.. Kukaa kimya/kuacha ujuaji/Busara/kuvunga hujui/kuvunga mwehu n.k wakati mwingine ni silaha kushinda MIKHAIL KARASHNIKOV 19947( Mk47) uni automatic machine gun! ni kama jiwe la paji kwa Goliath, wakati mwingine upanga hushindwa na maarifa ama akili ndogo,, Ok!! Mungu alipomaliza kuumba aliona vyote n vyema akabariki, So hata akili kichwani mwako ni njema imebarikiwa, inaweza kukusaidia katka situation tofaut bila hata yakufunga😳 KUNA MAMBO YA KUFUNGA NA YAPO YA UBONGO KUMKICHWA! lile la Daudi kuvunga chizi ni ubongo kwa kicha😁 ona(Mathayo2:19-23) Yusufu akiwa misri hakuambiwa mtto wa Herode ndo anatawala(arkeleo) no.no.no! aliambiwa tu Herode kafa,wala hakuambiwa toka misri nenda moja kwa moja Nazareth! No! so, alipofika israel akapata tarifa(yamkini aliulizia mwenyewe) arkelao anatawala, Yusufu yeye mwenyewe na akili yake akaogopa/kugoma kwenda baadae akiisha kuonywa kwa ndoto akabadili mwelekeo kwenda Nazareth!. akili yako sio bomu, au garasa ni njema kama Mungu alivoiamini, kuna pahala itakusaidia, kuna pahala imesaidia wengi bila wajuaji kujua, kua mjanja katika maamuzi, kufikiri sana sio dawa, dawa nikufanya maamuzi sahihi baada ya kufikilia!! ✓Busara ni akili NB, HII DUNIA WAKO MACHIZI WASOMI👊👊🙏
    Like
    2
    1 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 2χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση
Προωθημένο
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].