• Iweni hodari na moyo wa ushujaa, musiogope wala musihofu kwa maana BWANA MUNGU wako yeye ndiye anae kwenda pamoja nawe, hata kupungukia wala kukuacha. TORATI 31:6. @MUNGU hajawahi kumuacha aliye wake hajali nani anasema vipi, nani anamchukia na nani anampaka matope, ila yupo kwa ajili ya kutimiza kusudi lake juu yako. Amina.
    Iweni hodari na moyo wa ushujaa, musiogope wala musihofu kwa maana BWANA MUNGU wako yeye ndiye anae kwenda pamoja nawe, hata kupungukia wala kukuacha. TORATI 31:6. @MUNGU hajawahi kumuacha aliye wake hajali nani anasema vipi, nani anamchukia na nani anampaka matope, ila yupo kwa ajili ya kutimiza kusudi lake juu yako. Amina.
    Love
    Like
    4
    8 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen
  • TAFAKARI YA LEO. Torati 11:13-14. Tena itakuwa mtakaposikiza kwa bidii maagizo yangu niwaagizayo leo, kwa kumpenda BWANA MUNGU wenu, na kumtumikia kwa mioyo yenu yote na roho zenu zote. 14. Ndipo nitakapowapa mvua ya nchi yenu kwa wakati wake, mvua ya masika na mvua ya vuli, upate kuvuna nafaka yako na divai yako na mafuta yako.
    TAFAKARI YA LEO. Torati 11:13-14. Tena itakuwa mtakaposikiza kwa bidii maagizo yangu niwaagizayo leo, kwa kumpenda BWANA MUNGU wenu, na kumtumikia kwa mioyo yenu yote na roho zenu zote. 14. Ndipo nitakapowapa mvua ya nchi yenu kwa wakati wake, mvua ya masika na mvua ya vuli, upate kuvuna nafaka yako na divai yako na mafuta yako.
    Like
    Love
    3
    0 Kommentare 0 Geteilt 1KB Ansichten 0 Bewertungen
Gesponsert
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].