• KRISTO YESU NI BWANA
    KRISTO YESU NI BWANA
    Like
    Love
    2
    0 Comentários 0 Compartilhamentos 758 Visualizações 0 Anterior
  • Tunawasalimu kipitia jina la Yesu Kristo...
    Mnaendeleaje watumishi wa BWANA.
    Tunawasalimu kipitia jina la Yesu Kristo... Mnaendeleaje watumishi wa BWANA.
    Love
    1
    3 Comentários 0 Compartilhamentos 696 Visualizações 0 Anterior
  • Bwana YESU KRISTO apewe sifa
    Umu ndan wachoyo wapo kimya duh.kweli upendo wa wengi utapoa.
    Hatupeani mialiko.nasubiri mwaliko .nione wangap wananipenda
    Bwana YESU KRISTO apewe sifa Umu ndan wachoyo wapo kimya duh.kweli upendo wa wengi utapoa. Hatupeani mialiko.nasubiri mwaliko .nione wangap wananipenda
    Love
    2
    6 Comentários 0 Compartilhamentos 1K Visualizações 0 Anterior
  • Ahsante MUNGU WA mbinguni mwaka wa kwanza tumefikisha tokea safari yetu ilipoanza tarehe 11 mwenz wa 12
    Ahsante sana BWANA YESU WANGU.
    Ahsante MUNGU WA mbinguni mwaka wa kwanza tumefikisha tokea safari yetu ilipoanza tarehe 11 mwenz wa 12 Ahsante sana BWANA YESU WANGU.
    Love
    Like
    3
    1 Comentários 0 Compartilhamentos 1K Visualizações 87 0 Anterior
  • Rehoboth
    Bwana ametufanyia nafasi
    GVS-Buza
    Rehoboth Bwana ametufanyia nafasi GVS-Buza
    Like
    Love
    3
    13 Comentários 0 Compartilhamentos 1K Visualizações 114 0 Anterior
  • Mungu awatunze sana watumishi wa BWANA
    Mungu awatunze sana watumishi wa BWANA 😍 😍 😍
    Like
    Love
    2
    1 Comentários 0 Compartilhamentos 2K Visualizações 0 Anterior
  • Acha magugu na ngano vikue pamoja,wacha nitafute kwa bidii kuwa na amani na watu wote maana hakuna atakae Muona MUNGU pasipokuwa na UTAKATIFU WA KULIISHIA NENO LA BWANA NA WALA SIO KULISIKILIZA PASIPO MATUNDA YA KULIFANYA LIWE MAISHA YAKO NENO LA MUNGU...
    Acha magugu na ngano vikue pamoja,wacha nitafute kwa bidii kuwa na amani na watu wote maana hakuna atakae Muona MUNGU pasipokuwa na UTAKATIFU WA KULIISHIA NENO LA BWANA NA WALA SIO KULISIKILIZA PASIPO MATUNDA YA KULIFANYA LIWE MAISHA YAKO NENO LA MUNGU...
    Like
    Love
    2
    0 Comentários 0 Compartilhamentos 2K Visualizações 0 Anterior
  • Sio wakati wa kujilinganisha na wala sio wa kupima kazi zetu Huyu anafanyaje au yule anatumikaje maana yote yatafanyika mbele ya Kiti cha hukumu,shetani asitupotezee muda kwa mambo yasiyo na faida wala maana yoyote maana ni kujichosha akili,mwili na roho tu...muda ni mchache na mambo ni mengi ukitaka kumuona Mungu ni lazima ugeuze hiyo kanuni muda wako uwe mwingi wa Kumtafuta Mungu na mambo yako ya kimwili yawe machache..
    Ni lazima ujitambue ipasavyo ili kazi yako isiwe ya bure ukaishia kuteseka na waliomkataa Yesu kwa kutokumwamini wala kumpokea.Nakupenda sana Mtumishi wa Bwana licha ya kuwahubiria wengine pia nasi tusiache kukumbushana na kujengana ili Tukue kiimani hata kufikia kimo cha KRISTO.DUNIA NA VYOTE VIUJAZAVYO DUNIA NI MALI YA BWANA UKITAMBUA HILI HAUTAJITUMAINIA KWA JAMBO LOLOTE BALI UTAMKUMBUKA MUUMBA WAKO ALIYEKUPA NGUVU YA KUWA NAVYO ULIVYONAVYO NA VITAKUFANYA UMNYENYEKEE NA UMTUMIKIE YEYE SIKU ZOTE ZA UHAI WA MAISHA YAKO.
    MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SANA.
    Sio wakati wa kujilinganisha na wala sio wa kupima kazi zetu Huyu anafanyaje au yule anatumikaje maana yote yatafanyika mbele ya Kiti cha hukumu,shetani asitupotezee muda kwa mambo yasiyo na faida wala maana yoyote maana ni kujichosha akili,mwili na roho tu...muda ni mchache na mambo ni mengi ukitaka kumuona Mungu ni lazima ugeuze hiyo kanuni muda wako uwe mwingi wa Kumtafuta Mungu na mambo yako ya kimwili yawe machache.. Ni lazima ujitambue ipasavyo ili kazi yako isiwe ya bure ukaishia kuteseka na waliomkataa Yesu kwa kutokumwamini wala kumpokea.Nakupenda sana Mtumishi wa Bwana licha ya kuwahubiria wengine pia nasi tusiache kukumbushana na kujengana ili Tukue kiimani hata kufikia kimo cha KRISTO.DUNIA NA VYOTE VIUJAZAVYO DUNIA NI MALI YA BWANA UKITAMBUA HILI HAUTAJITUMAINIA KWA JAMBO LOLOTE BALI UTAMKUMBUKA MUUMBA WAKO ALIYEKUPA NGUVU YA KUWA NAVYO ULIVYONAVYO NA VITAKUFANYA UMNYENYEKEE NA UMTUMIKIE YEYE SIKU ZOTE ZA UHAI WA MAISHA YAKO. MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SANA.
    Like
    1
    0 Comentários 0 Compartilhamentos 3K Visualizações 0 Anterior
  • Utahesabiwa HAKI kwa IMANI yako isiyobadilika bali yenye msimamo thabiti ukijua unaemtumikia na kuzizingatia sheria,mausia na hukumu zake maana afanyaye hayo huyo ndio anampenda Mungu wala sio anayeimba sana wala kuhubiri sana usipokuwa sawa utajikuta unakuwa daraja wanavuka wenzio wewe unabaki hapo ukutane na ghazabu yake. MUNGU Sio wa mchezo wala adhihakiwi na hauwezi kumficha chochote na ndio maana utakachopanda ndicho utakachovuna....Be care maana sio wote wanaoita BWANA watarithi uzima wa milele kwa maana neno linasema uliitapo jina la BWANA na auache uovu,Na sio wote wanaozingatia hilo...BWANA YESU ATUSAIDIE SANA
    Utahesabiwa HAKI kwa IMANI yako isiyobadilika bali yenye msimamo thabiti ukijua unaemtumikia na kuzizingatia sheria,mausia na hukumu zake maana afanyaye hayo huyo ndio anampenda Mungu wala sio anayeimba sana wala kuhubiri sana usipokuwa sawa utajikuta unakuwa daraja wanavuka wenzio wewe unabaki hapo ukutane na ghazabu yake. MUNGU Sio wa mchezo wala adhihakiwi na hauwezi kumficha chochote na ndio maana utakachopanda ndicho utakachovuna....Be care maana sio wote wanaoita BWANA watarithi uzima wa milele kwa maana neno linasema uliitapo jina la BWANA na auache uovu,Na sio wote wanaozingatia hilo...BWANA YESU ATUSAIDIE SANA
    Like
    Love
    2
    2 Comentários 0 Compartilhamentos 3K Visualizações 0 Anterior
  • Ila hili Bwana ninajua umenitendea,nathamini sana...
    Ila hili Bwana ninajua umenitendea,nathamini sana...
    Love
    1
    0 Comentários 0 Compartilhamentos 2K Visualizações 0 Anterior
Páginas Impulsionadas
Patrocinado
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].