KAMA YESU NI MUNGU, KWANINI ALIKUFA?
JE, MUNGU ANAKUFA? Hayo ni maswali ya Waislam kila siku, na kwenye hii mada nitayajibu. SOMA: 1 Petro 3: 18 - 19 Kwa maana Kristo naye aliteswa mara moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili yao wasio haki, ili atulete kwa Mungu; mwili wake akauawa, bali roho yake akahuishwa, 19 ambayo kwa hiyo aliwaendea roho waliokaa kifungoni, akawahubiri;   Neno la Mungu linasema kuwa MWILI WAKE...
0 Yorumlar 0 hisse senetleri 5K Views 0 önizleme