ALIYE TABIRIWA KWENYE KUMBUKUMBU YA TORATI NI YESU AU MUHAMMAD?
Katika Kumbukumbu 18:17-18; 33:1-2, na 34:10-11, ni Muhammad aliyetabiriwa hapa, kama baadhi ya Waislam wanavyodai?   Jibu: Kumbukumbu 18:15-18 inasema Mungu atamwinua nabii, kuwa watamsikia, kama Musa kutoka miongoni mwao, miongoni mwa ndugu zao. Je Yesu alikuwa nabii? Je Wayahudi walio wengi walimsikia Yesu? Je Yesu alikuwa mmoja wa Wayahudi? Je Yesu alikuwa Myahudi? Waislam wanapaswa...
0 التعليقات 0 المشاركات 7كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة