Je, Nina wezaje kupokea msamaha wa dhambi toka kwa Mungu?
Matendo ya Mitume 13:38 yasema, “Basi naijulikane kwenu, ndugu zangu ya kuwa kwa huyo mnahubiriwa msamaha wa dhambi.”   Msamaha ni nini na kwanini ninauhitaji?   Neno “samehe” linamaanisha kusafisha nia au jambo nakulifanya kutokuwa na mawaa yoyote, ku achilia, kufutilia mbali deni. Tunapo kosea mtu, huuliza msamaha wao ili tukarudishe uhusiano. Msamaha...
0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior