Je Yesu alienda kuzumuni kati ya kifo chake na kufufuka?
Kuna kuchanganyikiwa kwingi kuhusu swali hili. Mwelekeo watoka kwa mafunzo ya mitume kumi na wawili ambao wasema, “alishuka kuzumuni.” Kuna maandiko machache ambayo kulingana na vile yametafsiriwa yanaelezea juu ya Yesu kuenda kuzimuni. Kwa kulichanganua swala hili, ni muimu kwanza kuelewa chenye Bibilia inafunza kuusu ulumwengu wa wafu.   Katika bibilia ya Kiibrania neno...
0 Comentários 0 Compartilhamentos 5K Visualizações 0 Anterior