Kwanini Mkristo anauhakika wa kwenda Paradiso zaidi ya Muislamu?
1. Je, Kurani inatoa uhakika kwa Waislamu? Kurani inatengeneza tu mazingira ya mashaka kuhusiana na kuingia Paradiso au hapana. Muislamu hanauhakika wa kuiepuka jehanamu ya moto: “Hao wanao waomba, wao wenyewe wanatafuta njia ya kwendea kwa Mola wao Mlezi - hata miongoni mwao walio karibu mno - na wanataraji rehema zake na wanaikhofu adhabu yake. Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi yafaa...
0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 4χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση