JE DHAMBI NI NINI?
Biblia inatueleza kuhusu hii dhambi kuwa ni kitu gani. Inafafanua kuwa dhambi ni “uasi au kuvunja sheria” (1Yohana 3:4). Dhambi ni msukumo wenye nguvu ambao unatufanya sisi tupende kuziendea njia ambazo ni kinyume kabisa na mapenzi ya Mungu. Kwa hiyo, badala ya kubarikiwa kwa kuyafuata mapenzi ya Mungu, tunaadhibiwa kama tutaishi kwa kuzifuata na kuishi kwa kufuata tamaa za Shetani,...
0 Reacties 0 aandelen 5K Views 0 voorbeeld