ISA WA QURAN SIO YESU WA BIBLIA
Ndugu msomaji, Zifuatazo ni thibitisho kadhaa zitakazo fundisha kuwa, Isa wa Quran na Yesu wa Biblia ni wawili na tofauti:   UTHIBITISHO WA 1   MAANA YA JINA ISA Ni jambo la kawaida sana jina au majina kuwa na maana. Mfano majina haya ya kiarabu yana maana hizi: Muhammad, linamaanisha mwenye kushukuriwa, Abdalla ni Mtumwa wa Allah; Abu-Bakar maana yake ni Baba wa bikira; Abu...
0 Commentaires 0 Parts 5KB Vue 0 Aperçu