ENYI WANAWAKE MSINILILIE MIMI
Kwa nini Yesu aliwaambia akinamama jililieni nafsi zenu na watoto wenu ?Luka 23:27-28 “Na mkutano mkubwa wa watu wakamfuata na wanawake waliokuwa wakijipiga vifua na kumwombolezea, Yesu akawageukia,akasema,Enyi binti za Yerusalemu ,msinililie mimi,bali jililieni nafsi zenu na watoto wenu”. Hapa Bwana wetu Yesu alikuwa njiani kuelekea Golgotha kusulubiwa, akina mama na binti za...
0 Comentários 0 Compartilhamentos 5K Visualizações 0 Anterior