JIFUNZE KUENENDA KWA ROHO ILI USIMHUZUNISHE ROHO MTAKATIFU
Shalom, hakuna namna mwamini anaweza kuishi maisha ya kumpendeza Mungu hapa duniani bila kuenenda au kuongozwa na Roho Mtakatifu kwani yeye ndiye aliyepewa jukumu la kutufundisha na kutuonyesha njia itupasayo kuiendea. Hivyo basi suala la kujifunza kuenenda kwa Roho ni la LAZIMA kwa kila mwamini ili aishi maisha aliyokusudiwa awapo duaniani na kuepuka matokeo ya kumhuzunisha Roho...
0 Kommentare 0 Geteilt 6KB Ansichten 0 Bewertungen