MATOKEO YA DHAMBI YA UZINZI/UASHERATI KWA MTU ALIYEOKOKA.
Nakusalimu katika jina la Bwana mwezi huu wa tisa. Katika mwezi huu nimesukumwa ndani yangu tujiunze habari hii juu ya athari/matokeo ya dhambi ya zinaa/uasherati pale kwa mtu aliyeokoka. Yaani kitu gani kinatokea mtu aliyekwisha kuokoka anapoanguka katika dhambi hii.   Katika Mithali 6:32 Biblia inasema “Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo...
0 Комментарии 0 Поделились 5Кб Просмотры 0 предпросмотр