MWANANGU, YULE MAMA HAKUMALIZA VIZURI SAFARI YAKE
Mwanangu yule mama hakumaliza vizuri safari yake! Hivi ndivyo Mchungaji wangu, alivyoanza kunieleza kwa habari ya kifo cha mama mmoja tuliyekuwa tukisali naye. Nilimfahamu mama huyu kuanzia mwaka 2001 nilipookoka. Kwa ufupi alikuwa ni mama mwenye kumpenda sana Mungu, aliye jali ibada mbalimbali na zaidi Mwana maombi mzuri. Alikuwa ni mama ambaye ni mfano wa kuigwa kwa mambo mengi, na kwa jinsi...
0 Comentários 0 Compartilhamentos 5K Visualizações 0 Anterior