NAMNA SHETANI ANAVYOTUMIA ROHO YA USAHULIFU KUHARIBU MAISHA YA WAAMINI
  Shalom, katika waraka huu wa Desemba 2016 nimeona ni vema kukumbusha juu ya jambo hili ambalo si wengi wanalijua ili uweze kuwa makini katika utendaji wa neno la Mungu na hivyo kupokea kilichokusudiwa kwenye kila hatua ya maisha yako. Tafadhali rejea andiko la somo, Luka 8:4-15, kwenye  ule mstari wa 12 imeandikwa ‘Wale wa karibu na njia ndio wasikiao, KISHA HUJA IBILISI...
0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 5χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση