NAFASI YA MAWAZO KATIKA KUVIPIGA VITA VYA KIROHO
Vita vya kiroho, ni vita ambayo inapigwa katika ulimwengu wa roho, kwa jinsi ya rohoni baina ya ufalme wa Mungu na ufalme wa Shetani kwa lengo la kumpata mwanadamu, ili kila ufalme umtumie kutekeleza au kufanikisha makusudi yake duniani. Hii ni vita ya matakwa (a war of will/purpose) kwani kila ufalme una mambo yake ambayo unataka kuhakikisha yanatimia katika ulimwengu wa mwili. Ukisoma...
Like
1
2 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 5χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση