USHAURI KWA MJANE WAJANE
Mpenzi msomaji katika category hii ya “maswali na majibu” huwa naandaa masomo yanayolenga kujibu maswali ya wasomaji mbalimbali wa blog hii kama yanavyoulizwa na wasomaji husika kwa njia mbalimbali. Mwezi huu nimeona ni vema nikajibu swali lililoulizwa na dada L  kuhusu wajane. Majibu yangu hayakuzuii wewe msomaji mwingine kuongezea majibu yako juu ya maswali wanayouliza...
0 Commenti 0 condivisioni 9K Views 0 Anteprima