UCHAMBUZI WA KITABU CHA UFUNUO
Maana ya Ufunuo.   Neno Ufunuo kwa kiingereza ni Reveletion au Disclosure au Apokalupsis kwa kiyunani Apokalupsis  Maana yake ni Mungu kujiweka wazi, au kujifunua kupitia uumbaji wake, Historia, Dhamiri ya mwanadamu na Maandiko kwa msingi huo linapotumiwa katika maandiko hutumiwa kwa maana mbalimbali tofauti na hakuna maana maalumu, Maneno makuu mawili ya kiyunani hutumika...
0 Reacties 0 aandelen 9K Views 0 voorbeeld