KUWEKWA HURU KUTOKA DHAMBI YA UZINZI NA UASHERATI
Jambo la kwanza ninamshukuru Mungu kwa neema yake aliyonipa kufundisha neno lake. Ndungu mpendwa ninajua ya kwamba Mungu alikupenda sana, hata akamtoa Mwana wake wa pekee Yesu Kristo kwa ajili yako ili akukomboe kutoka katika dhambi zote ikiwemo dhambi ya uzinzi na uasherati. Sasa ninakusihi kwa neema ya Mungu fuatana nami kwa makini kuhusu   somo hili nawe utauna utukufu wa Mungu...
0 Commenti 0 condivisioni 5K Views 0 Anteprima