MILANGO YA FAHAMU YA KIROHO
MILANGO YA FAHAMU KATIKA HALI YA MWILI   Milango ya fahamu ni ogani za mwili zinazoturuhusu kujua na kuyamudu mazingira yetu kwa usahihi. Kibailojia inaelezwa kuwa ogani yenye uwezo wa kupokea habari za nje ya mwili kama vile; Nuru, Sauti, Halijoto, Mwendo, Harufu na ladha ili kuzibadilisha katika mfumo wa kiumeme inachukuliwa kwa njia ya mfumo wa neva hadi kwenye ubongo.   Kuna...
0 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu