HAYA NDIYO MADHARA YA KUABUDU PICHA ZA WATU WALIOIGIZA SINEMA ZA YESU!
BWANA YESU ASIFIWE watu wote wa mataifa yote, YESU anawapenda na pia MUNGU anawapenda na ROHO MTAKATIFU anawapenda vile vile na leo amenituma niwaletee habari njema za uponyaji wa roho na mwili ili miili isike ikaangamia na roho kuhukumiwa siku ile ya hukumu. Napenda kuwashukuru watu wote ambao waliamua kufundisha kuhusu maisha ya YESU kwa njia ya sinema, walifanya vizuri wameelimisha watu...
0 Comentários 0 Compartilhamentos 5K Visualizações 0 Anterior