JINSI YA KUTOFAUTISHA ROHO WA MUNGU NA ROHO WA SHETANI
JE UNAONGOZWA NA ROHO MSAIDIZI WA MUNGU?  JE UNAONGOZWA NA ROHO MSAIDIZI WA SHETANI ?  JE UNAJUA YUPO ROHO MSAIDIZI WA SHETANI? YUKOJE?  BWANA YESU ASIFIWE, watu wote wa mataifa yote ambao mmeumbwa na MUNGU na ambaye ndiye BABA yake YESU, na kwa dini nyingine wanamwita yeye ni Nabii Issa, kipindi hiki amekaribia kurudi kwa ajili ya unyakuo. Ukisoma katika kitabu cha Yohana...
0 Комментарии 0 Поделились 5Кб Просмотры 0 предпросмотр