MWANAUME: SIO MKE WAKO NI WEWE
Mchungaji wangu Emmanuel Nhyama Manwele ambaye ni mwalimu wangu wa kwanza wa ndoa na maswala yahusuyo ndoa, alinifundisha akasema,"Mke ni kama kinanda, ukikipiga vizuri kitakupa muziki mzuri, lakini usipokipiga vizuri hakitakuletea muziki mzuri ila mbaya. Mtu ambaye hakufundishwa kupiga kinanda hawezi kupiga kinanda hicho katika mpangilio sahihi wa ala za muziki kikaleta maana ya wimbo, hata...
0 Reacties 0 aandelen 6K Views 0 voorbeeld