MWANAUME: KAA NA MKE WAKO KWA AKILI
KWELI KUU: Mwanaume mwenye akili akishindwa kukaa na mke wake ni kwa sababu amekosa akili.1Petro 3:7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili, na kumpa heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.​ UTANGULIZI:Ndoa ni taasisi ambayo Mungu mwenyewe aliianzisha kwa kusudi la kuwa na familia bora zinazomwabudu...
0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare