UPAKO NA UTISHO WA MUNGU – NGUZO YA KUTETEMESHA MATAIFA NA KUVUNJA MAMBO YA KIZAZI CHA ZINAA
Mstari wa kufungua:“Bwana atawatawala mataifa; Bwana atawaponda watawala wa dunia; atawafanya watetemeke, na kuwachukua kama udongo” (Zaburi 110:5-6, tafsiri huru). SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI WA KINAFSI – KWA NINI KIZAZI HIKI KINAHITAJI UTISHO? Kizazi cha leo: Hakiamini katika Mungu mwenye hasira au hukumu. Kinamwona Mungu kama “rafiki wa...
1 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 100 Views 0 Προεπισκόπηση