KWA NINI WATU WENGI WANAUMIA BAADA YA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO?
Kumekuwa na takwimu nyingi za wachumba na wanandoa kuumia mara tu au muda mfupi baadaye baada ya kuingia katika mahusiano ya uchumba au ndoa. Zipo sababu nyingi lakini leo naomba niseme au tujifunze hizi chache.SABABU YA KWANZA: Kukosa maarifa na ufahamu.Kuna msemo wa kiingereza unaosema hivi, "Knowledge before marriage" wenye maana ya "Maarifa kwanza kabla ya ndoa". Biblia inasema, Watu...
0 Commentarii 0 Distribuiri 5K Views 0 previzualizare