JINSI YA KUMJUA MWENZI WAKO ALIYEKUSUDIWA NA MUNGU
Leo napenda tuangalie mambo yatakayokufanya umjue mwenzi wako wa ndoa uliyekusudiwa na Mungu. Wanaume wapo wengi na si kila mwanaume anafaa kuwa mume wako. Wanawake wapo wengi lkn si kila mwanamke anafaa kuwa mke wako. Anayefaa kuwa mume wa mwingine hafai kuwa mume wako, anayefaa kuwa mke wa mwingine hafai kuwa mke wako. Kumbuka, wewe mwanamke hufanani na kila mwanaume, na wala wewe mwanamume...
0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 6χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση