UHUSIANO WA JINA NA HATMA YA MTU 1SAMWEL 25:25, MWANZO 32:24-28
UHUSIANO WA JINA NA HATMA YA MTU. 1SAMWEL 25:25, MWANZO 32:24-28. Moja kati ya teso kubwa la kanisa la Leo ni nguvu iliyo ndani ya Majina waliopewa na wazazi wao, Moja ya zawadi kubwa ambayo mzazi humpa mtoto wake ni jina na hivyo jina hilo litaamua katika Maisha yake aishije na awe nani.  Leo hii wapo watu ambao HATMA zao zimecheleweshwa kwasababu ya Majina waliopewa na wazazi wao,...
0 Commenti 0 condivisioni 400 Views 0 Anteprima