TAFADHALI JIHADHARI USIUKUBALI UONGO HUU WA ADUI.
Bwana Yesu asifiwe mwana wa Mungu, nakusalimu kwa jina la Kristo Yesu, ni matumaini yangu unaendelea vizuri katika kuvipiga vita vya imani, huku imani ukiilinda na hatimaye mwendo uumalize vyema ili kwa pamoja tukamlaki Yesu mawinguni.  Siku moja nikiwa nyumbani, uliingia ujumbe wa Kundi (Group) la whatsapp, ambalo mtumishi mmoja wa Mungu aliiunganisha namba yangu. Lengo la Kundi hili...
0 Reacties 0 aandelen 321 Views 0 voorbeeld