HATUA 7 ZA KUMALIZA UGOMVI NA MWENZAKO
“Ndugu yako akikukosa, enenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo” Mathayo 18:15“Mara nyingine, Mungu hakutumi vitani kutwaa ushindi; anakutuma kumaliza vita”Shannon L. Alder     KwanzaWatu wanapokaribiana katika uhusiano wa uchumba hawagongani kwa ghafla na ujumla. Kawaida, mgogoro huanza kuzuka pasipo wahusika...
0 Comentários 0 Compartilhamentos 5K Visualizações 0 Anterior