UFALME WA MUNGU
BWANA ASIFIWE, unaweza kupakua (download) somo hili kwa kubonyeza hapa. Au unaweza ukaendelea kulisoma hapahapa. Sasa tuanze somo letu rasmi.   Ufalme wa Mungu (au Ufalme wa mbinguni unavyoitwa hasa katika Injili ya Mathayo) ni mojawapo kati ya mada kuu za ujumbe wa Yesu Kristo katika Injili.   Neno "ufalme" katika Injili limetafsiriwa kutoka kwenye neno Baseleia ambalo ni...
0 Commenti 0 condivisioni 7K Views 0 Anteprima