Sio wakati wa kujilinganisha na wala sio wa kupima kazi zetu Huyu anafanyaje au yule anatumikaje maana yote yatafanyika mbele ya Kiti cha hukumu,shetani asitupotezee muda kwa mambo yasiyo na faida wala maana yoyote maana ni kujichosha akili,mwili na roho tu...muda ni mchache na mambo ni mengi ukitaka kumuona Mungu ni lazima ugeuze hiyo kanuni muda wako uwe mwingi wa Kumtafuta Mungu na mambo yako ya kimwili yawe machache..
Ni lazima ujitambue ipasavyo ili kazi yako isiwe ya bure ukaishia kuteseka na waliomkataa Yesu kwa kutokumwamini wala kumpokea.Nakupenda sana Mtumishi wa Bwana licha ya kuwahubiria wengine pia nasi tusiache kukumbushana na kujengana ili Tukue kiimani hata kufikia kimo cha KRISTO.DUNIA NA VYOTE VIUJAZAVYO DUNIA NI MALI YA BWANA UKITAMBUA HILI HAUTAJITUMAINIA KWA JAMBO LOLOTE BALI UTAMKUMBUKA MUUMBA WAKO ALIYEKUPA NGUVU YA KUWA NAVYO ULIVYONAVYO NA VITAKUFANYA UMNYENYEKEE NA UMTUMIKIE YEYE SIKU ZOTE ZA UHAI WA MAISHA YAKO.
MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SANA.
Sio wakati wa kujilinganisha na wala sio wa kupima kazi zetu Huyu anafanyaje au yule anatumikaje maana yote yatafanyika mbele ya Kiti cha hukumu,shetani asitupotezee muda kwa mambo yasiyo na faida wala maana yoyote maana ni kujichosha akili,mwili na roho tu...muda ni mchache na mambo ni mengi ukitaka kumuona Mungu ni lazima ugeuze hiyo kanuni muda wako uwe mwingi wa Kumtafuta Mungu na mambo yako ya kimwili yawe machache.. Ni lazima ujitambue ipasavyo ili kazi yako isiwe ya bure ukaishia kuteseka na waliomkataa Yesu kwa kutokumwamini wala kumpokea.Nakupenda sana Mtumishi wa Bwana licha ya kuwahubiria wengine pia nasi tusiache kukumbushana na kujengana ili Tukue kiimani hata kufikia kimo cha KRISTO.DUNIA NA VYOTE VIUJAZAVYO DUNIA NI MALI YA BWANA UKITAMBUA HILI HAUTAJITUMAINIA KWA JAMBO LOLOTE BALI UTAMKUMBUKA MUUMBA WAKO ALIYEKUPA NGUVU YA KUWA NAVYO ULIVYONAVYO NA VITAKUFANYA UMNYENYEKEE NA UMTUMIKIE YEYE SIKU ZOTE ZA UHAI WA MAISHA YAKO. MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SANA.
Like
1
0 Yorumlar 0 hisse senetleri 3K Views 0 önizleme