Bwana YESu Asifiwe Leo nakuomba tujadiliane jambo moja kikubwa uwazi yaan tumia maarifa uliyonayo ndan ya moyo wako.
ni je jambo gani linaloweza kukufanya urithi ufalme mpya unaoandaliwa na Yesu Kristo??
kumbuka sio wote waitao Bwana watarithi ufalme sasa jambo unadhan litamfanya akupe urithi pamoja na Kristo ni jambo gani umeshawah kuwaza hilo na kama tiali ulipata majibu gani,tushirikiane kupata mawazo yako rafiki
Bwana YESu Asifiwe Leo nakuomba tujadiliane jambo moja kikubwa uwazi yaan tumia maarifa uliyonayo ndan ya moyo wako. ni je jambo gani linaloweza kukufanya urithi ufalme mpya unaoandaliwa na Yesu Kristo?? kumbuka sio wote waitao Bwana watarithi ufalme sasa jambo unadhan litamfanya akupe urithi pamoja na Kristo ni jambo gani umeshawah kuwaza hilo na kama tiali ulipata majibu gani,tushirikiane kupata mawazo yako rafiki
Love
2
11 Comentários 0 Compartilhamentos 2KB Visualizações 0 Anterior