MAISHA BAADA YA KUBATIZWA NA ROHO MTAKATIFU.
Mtu anapozaliwa mara ya pili kwa kumkaribisha Bwana Yesu ndani ya maisha yake, huingia katika maisha mapya na kutembea katika uongozi wa Mungu aliye hai. Mtu huyu aliyezaliwa mara ya pili anapofikia mahali pa kukutana na Nafsi ya tatu ya Mungu (Roho Mtakatifu) ana kwa ana katika kipimo cha kufurika (tele), huingia katika ufunuo mpya na maisha mapya ya kushuhudia uthihirisho wa nguvu za Mungu...
0 Комментарии 0 Поделились 7Кб Просмотры 0 предпросмотр