(1) MLENGWA WA KANISAMlengwa hapa ni kanisa lililoko LaodikiaLaodikia ulikuwa ni mji ambao ulikuwa maili zipatazo 40 kaskazini mwa mji wa Efeso. Kama jinsi tulivyokuwa tukijifunza kuwa miji yote hii ilikuwa katika Asia ndogo ambayo kwa sasa katika ramani ya sasa ni katika maeneo yanayokuwa karibu...