MAJIRA YA KANISA LA PERGAMO
(1) MLENGWA WA KANISA{ UFUNUO 2 :12 -17}" Na kwa malaika wa kanisa lililoko Pergamo andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na huo upanga mkali, wenye makali kuwili". Kwahiyo Mlengwa hapa ni Malaika wa Kanisa lililoko PERGAMOMAZINGIRA NA IBADA ZILIZOFANYIKAPergamo ulikuwa ni mji mkuu wa hiyo Asia ndogo wa nyakati hizo, hivyo yalikuwa ni makao makubwa ya kisiasa kwenye vuguvugu kubwa la...
Like
1
0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare