KIASI NI NINI KATIKA UKRISTO?
Kiasi kama tafsiri yake  ilivyo ni  kuwa na uwezo wa kudhibiti jambo/tendo lisipitilize mipaka yake, yaani litendeke kwa sehemu tu. Katika Ukristo, kiasi ni moja ya matunda tisa (9), ya Roho Mtakatifu. Wagalatia 5:22 “Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, KIASI; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria”. Ikiwa na...
0 Commenti 0 condivisioni 5K Views 0 Anteprima