Jinsi Ya Kumpokea Roho Mtakatifu
“Je Unajua kuwa watumishi wengi sasa wanaogopa kufanya maombezi ya kuombea watu ujazo wa Roho Mtakatifu? Wasaidie ili wapate ujasiri wa kuwaombea watu wangu ili wapokee Roho Mtakatifu hii ni zawadi ya hali ya juu niliyowaahidia watu wangu lakini inakuwa kama Historia unadhani ni kwa nini? Kamote! Ahaa ni kwa sababu wengi wanajifikiri kuwa kuna watu maalumu sana wanaopaswa kufanya maombezi...
0 التعليقات 0 المشاركات 7كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة