Msikilizeni Israel, Baba yenu!
Mstari wa Msingi:- Mwanzo 49:1-2 “Yakobo akawaita wanawe, akasema, Kusanyikeni, ili niwaambie yatakayowapata siku za mwisho. Kusanyikeni, msikie, enyi wana wa Yakobo, Msikilizeni Israeli, baba yenu.” Utangulizi: Wakati huu ulikuwa ni wakati Muhimu sana kwa Yakobo, kuhitimisha maisha yake na kazi yake hapa Duniani, Yakobo kama mrihi wa Baraka za Ibrahim na Isaka sasa ana watoto wengi...
0 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu