Mimi ni ngao yako na thawabu yako kubwa sana !
Utangulizi: Mojawapo ya sehemu muhimu sana katika maandiko ambapo unaweza kupata faraja ya kiungu ni pamoja na eneo hili ambapo tunasoma kuwa Mungu alisema na Abraham katika njozi na kumtia Moyo kwa maneno makubwa matatu muhimu sana, USIOGOPE, MIMI NI NGAO YAKO NA THAWABU YAKO KUBWA SANA, Maneno haya ya muhimu ambayo ndio sehemu kuu ya somo letu kwa leo yana umuhimu mkubwa sana, Sio kwa...
0 التعليقات 0 المشاركات 5كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة