Mafundisho kuhusu Uadilifu!
Andiko la Msingi: Tito 2:11-12 “Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa;” Utangulizi: Leo hii tutachukua Muda kujifunza kwa undani kuhusu Uadilifu, (Ethics). Moja ya maswala ya msingi sana ambayo kila mwanadamu anapaswa kuwa nayo awapo...
0 Commentarios 0 Acciones 8K Views 0 Vista previa