FAHAMU KUHUSU JINA LA FARAO
Kwa ufupi… Bwana Yesu asifiwe… Je unafahamu nini kuhusu jina hili la farao? Basi ngoja nikujuze kidogo kuhusu jina la Farao. Farao sio jina kama majina mengine bali ni cheo kilichotumika kwa wafalme wa Misri. Hivyo Farao ni cheo cha kifalme wa kimisri, yaani ni sawa na kusema jina linalotumika kumuelezea kiongozi wa juu katika nchi katika nchi zetu leo; tunatumia neno “...
0 Commenti 0 condivisioni 5K Views 0 Anteprima