BORA KUTESEKA MIKONONI MWA MUNGU,KULIKO KUPATA RAHA MIKONONI MWA SHETANI.
Bwana Yesu asifiwe … Kwa ufupi. Kuwa mikononi mwa Mungu haina maana hakuna mateso. Mateso yapo pia katika Bwana,utakutana nayo tu kwa sababu hata Yesu aliteswa; Na ndio maana Neno linatuambia kwamba wale wote wapendao kuishi maisha ya utauwa,wataudhiwa ( 2 Timotheo 3:12).  Lakini ni afadhali sana kupitia mateso ukiwa mkononi mwa Bwana, kwa maana kuna ushindi utakaoupata kuliko kule...
0 Комментарии 0 Поделились 6Кб Просмотры 0 предпросмотр