INJILI niliisikia ila NILISHUPAZA SHINGO YANGU!!!!.
(Ushuhuda wa dada Penina)."""""'"""""""""""""""""""'''''''''''''''''''"Siku moja nikiwa na mchepuko wangu wa siku hiyo, tukiwa tunatembea njiani kuelekea nyumba ya kulala wageni, (Guest). Kabla hatujafika kwenye hilo jengo, njiani kulikuwa na mkutano wa walokole wakihuburi injili,Huwa siyo kawaida yangu sana kusikiliza mahubiri, kwani mimi huwa naona kama kelele tu, na wanapoteza muda wao...
0 Kommentare 0 Geteilt 5KB Ansichten 0 Bewertungen