Ninapokutafakari YESU KRISTO wa maisha yangu nazidi kupata sababu ya kukusifu na kukuabudu ndani ya nafsi yangu,moyo wangu na akili yangu yote.
Uinuliweeee Mungu mwenye uwezaaa.