Anaeongozwa na Roho wa Bwana MATUNDA YA ROHO NDIO MATOKEO YAKE KATIKA MWENENDO WAKE.
anaeongozwa na mwili wake
MATUNDA YA MWILI NDIO MATOKEO YAKE KATIKA KUENENDA KWAKE.
usipate tabu kumfahamu mtu namna alivyo.
MWENENDO wa binadamu huwa haujifichi na ndio maana wakasema za mwizi arobaini,huyo ni mwizi ila wewe muongo njia yako ni fupi maandiko yanathibitisha hivyo,penda kuchunguza MWENENDO wako.
Mtukuze MUNGU kwa moyo safi na nia safi pasipo hila Wala mawaa uzidi kunawili na kula mema ya nchi.