Usidanganyike mazungumzo mabaya huaribu tabia njema.
Itumie akili Kama ipasavyo.
Maana wengi hawamjui Mungu wa kweli astahilie kuabudiwa na kusifiwa.
Maneno yako yaambatane na matendo yako tofauti na hapo wewe ni msanii mbele za Mungu wa mbingun anaekuona kila kitu uwazacho na utendacho ila tambua tu Mungu aliye hai aketiye PATAKATIFU HADHIAKIWI.



Usidanganyike mazungumzo mabaya huaribu tabia njema. Itumie akili Kama ipasavyo. Maana wengi hawamjui Mungu wa kweli astahilie kuabudiwa na kusifiwa. Maneno yako yaambatane na matendo yako tofauti na hapo wewe ni msanii mbele za Mungu wa mbingun anaekuona kila kitu uwazacho na utendacho ila tambua tu Mungu aliye hai aketiye PATAKATIFU HADHIAKIWI.
Like
Love
3
8 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 785 Views 0 Προεπισκόπηση