Iweni hodari na moyo wa ushujaa, musiogope wala musihofu kwa maana BWANA MUNGU wako yeye ndiye anae kwenda pamoja nawe, hata kupungukia wala kukuacha. TORATI 31:6. @MUNGU hajawahi kumuacha aliye wake hajali nani anasema vipi, nani anamchukia na nani anampaka matope, ila yupo kwa ajili ya kutimiza kusudi lake juu yako. Amina.